Tuesday, 12 September 2017

BACK TO BASICS

Am back like i never left,
Nimekuwa kwa jam traffic imekuwa most  nikalook right and left,
Then left again alafu nikacross,
Wangapi mmenimiss? Inueni mikono ata ka ni dozen,
Wengi wenu you dying for my kiss, But lets assume mi ni cousin,
Chill no rushin' ,
Am here to stay,
Am not going away,
At the end of the day i got bills to pay,
And lots to say,

Debest jina kubwa,
Blessed na passion si utumwa,
Siitaji kusukumwa,
After all bado nakula ugali na sukuma,
Ni maisha na hali ya kuyasukuma,
Ukule Omena na sembe ya mbao,
Ucheze mapena ufunge mabao,
Uchape makona ufike kwa hao,
Ung'are ka baller ufike tao,
Tisho kali bora ukona trao,
Usiwaisahau place umetoka,
Mjue Mungu angalau utaokoka,

Poetry in my blood,
Nashukuru God i am glad,
Kipaji amenipa,
Mistari mi nawapa,
'Toka hapa hadi kule,
Mi ni rapper siko shule,
Unabeef leta tule,
I keep it real am the Realest,
Jina ni Ericcoh am the illest,
Check my blog upate latest,
Mistari na mizani,
Nazipima na uzani
Niwape za wastani,
To my loyals nawapenda sio utani,
Tupatane mtaani,
Niwashow form ni gani,
Na tujuane kwani tu hali gani!.

Am back to basic,
Life has been hectic,
Nimekuwa so sick,
Nawacall hampick,
Niko njaa hampiki,
Nawaita hamfiki,
Friends turned haters,
Friends turned strangers,
Friends turned rangers,
Friends turned hunters,
Am the Realest niggar,
Ukitaka unaeza nihiga,
Niko down to earth na sio kuringa,
Usicompete na mimi huwezi nishinda,
Oh we ni cry baby nitakubaia rinda,
DEBEST jina kubwa trust me hii ni shidaa!