Valentines day
That special day
They call it siku ya wapendanao,
It also can be siku ya watafutanao,
Or rather siku ya wapatanao,
Its a happy day,
Alot we can say,
Spreading love,
So much laughter,
Sharing what we have,
Not regreting after,
But since ni about love,
Niko katika hali ya kumtafuta,
Mwenye ni freshi amejipaka mafuta,
Nice & lovely,
Kutoka juu hadi chini,
Fair & lovely,
Kutoka mguu hadi chin,
Shingo ikuwe ya upanga,
Coz pia kumkiss napanga,
Special day and night,
Little say and some little light,
Dim kidogo nipate courage ya kukuhold tight,
I bet utavaa ile nguo yako tight,
But wait...
Valentine day,
Sio lazima ulale ndani,
Haijalishi love yako ni gani,
Awe mtamu kama honey,
Usimchovye kila Mara,
Ladha yake haikwishi,
Mapenzi yenu hayaishi,
Ukimchovya kweli ni mtamu,
Unazidi kupata hamu,
Utachovya ya kwanza ya pili na ya tatu,
Utachovya Wa kwanza Wa pili na Wa tatu,
Saa zingine pia watatu,
Ukichoka Mara tatu,
But listen
Love sio kuchovya,
Kila time unachovya,
Sio eti umechovya Mara ngapi,
Ama umewachovya wangapi,
Love ni kugive,
Love ni kuforgive,
Love ni kucare,
Love ni kushare
Love ni kupenda,
Love ni kutenda,
Actions muhimu,
Kila time kila msimu,
Maongezi pia muhimu,
Mapenzi yenu yatadumu,
Nakupenda usinilaumu,
Nimekosa usinihukumu,
Valentines ni ile Siku,
Walevi watableki,
Magari yao yakose breki,
Makazini wapewe break,
All in the name ya kuparty,
Wajipe mingi duty,
Kuprove love ni blind,
Ingekuwa blind hatungeona,
Ama labda hatungepatana,
Una macho na unaona,
Ukingojewa kwa kona,
After heartbreak utapona,
Utakonda na utanona,
Shida ni upate homa,
Its worse kuliko being in a comma,
Tabia mbaya ungekoma,
Kuchovyachovya ungegoma,
But uliringa we ni mnoma,
Wosia za watu ukazichoma,
Utabaki kwako solo,
Upatwe na mingi sorrow,
Kwa kona design ya mafikizolo,
Watakukoma marafiki ubaki solo,
Valentine is giving,
Forgiving,
And thanks giving,
Everyday is a valentines day,
Thats what the true rea lovers say,
Ndo lugha ya wapenzi,
Huwezi kosa love,
Take care of who you have,
Ka unawako mpenzi,
Mtunze vyema kwa malezi,
But for now,
Lets take this time,
Tuwape love mayatima,
Tufanye yetu hima,
Kwa roho zetu yaani mtima,
Wasiojiweza tuwapende,
Walioteseka tusiwatende
Tuwape reason ya kulive,
Coz love is free we can give,
Happy Valentines Day From Debest!