Kuwa kwa penzi ukupa hamu,
Kupata mpenzi ukuwa tamu,
Na kwa jumla mapenzi ni matamu, Kupendana na kurekebishana kwa zamu,
But sometimes love ukuwa ngumu,
Unampenda but kumwambia ni vigumu,
Sio juu hutaki but situations hazikuruhusu,
Yaani umpate mrembo na nusu,
Roho yako aiteke aifanye maabusu,
Kila mara ni kufikiria kumhusu,
But hali inafanya unyamaze,
Usije kumwelezea akukataze,
Enyewe penzi lake ndo nataka,
Jinsi ya kumwelezea pia nasaka,
Juu enyewe...
Ninampenda sio mchezo,
But kumwambia ni ngumu juu sina uwezo,
Wakumpeleka out for pizza,
Sometimes atataka tutembee kwa giza,
So itabidi nimpick kwa nyumba,
But since sina gari ama pesa ya uber,
Nabaki hapa nikizubaa,
Nikiwa katika harakati za kujiandaa,
Angalau siku moja nitaweza kumpamba,
Juu already nikona yake namba,
Kumtafuta itakuwa rahisi,
Not unless akuwe na ile maringo ya tausi,
Aanze kuplay hard to get,
Though kwangu ni hard target,
Nitangoja niweze kuafford yake budget,
Ata ka walisema mapenzi ni free,
Siko ready ateseke juu siwezi afford meals in three,
Yaani breakfast, lunch n Supper,
Matimes nimpeleke dinner,
But kwa sasa hela sina,
Kwa roho yake niwe winner,
Akiitaji favour nimpe,
Mapenzi anipe,
Furaha tujipe,
But first itabidi madeni nilipe,
Ndo nimchumbie bila woga,
Juu enyewe alishaniroga,
Kwake nishadata,
Imebaki kumpata,
Ye ndo yangu hotspot so siitaji data,
Nikimuona nakuwa speechless,
Kumtamani inafanya ni speak less,
Siwezi mind kumtembelea kwake,
Kwa mind nikijua mi ni wake,
But still naogopa kumwambia,
That nikimuona roho yangu hukimbia,
Ye ndo my heart beat,
Nikiona yake picha i smile a bit,
She is the one i want,
She is the one i wish to have,
In her heart its where i wanna land,
Coz its her that i love,
Kila mara kumfikiria,
Ningeweza kumkimbilia,
Nimpe langu busu,
Ajue bila yeye niko nusu,
She got a heart of gold,
Her beauty shines bright like a diamond,
My love for her has gone platinumz,
Yaani ningekuwa Diamond angekuwa zari,
Na sio eti nimcheze coz hiyo ni hatari,
But nimchezee ngoma kali ,
Ya mapenzi kama african Beauty,
Je utanipenda? Ndo lingekuwa swali,
But mdogo mdogo nitauskiza moyo wangu,
Nimwelezee vile ningependa awe wangu,
Nimjulishe kwa wangu wazazi,
Tuyapate yao malezi,
Am sure mom atafurahia,
Naye dad atajivunia,
But still sijui vile nitamchumbia,
Labda hapendi zangu tabia,
Labda nitajiharibia,
Ama pia atanikimbia,
Ningependa kumskia,
Kama ataniitikia,
But sina cha kumpa,
Na penzi sitaki kulitupa,
Ningali kwenye harakati za kutafuta,
Ivyo sitamwambia nimekuwa namfuata,
Sitamwambia nampenda,
Naogopa pia akipata mwingine ataenda,
Its hard to accept but ni life,
Its sad akikataa kukubali kuwa my wife,
Though ni love siwezi mforce,
Nitajipa time roho yangu niiweke pause,
Niko sure nampenda siwezi mplay,
Namtrust but for some reasons i got to delay,
Telling her that am in love with her,
Letting her know that i love her, ..........
..........
Nipe time niweze kujipanga,
Love sio crime nitaacha kujichanga,
Ningeweza ningekufanya my wife,
But kwa sasa napambana na life,
Angalau niweke food kwa meza,
Ni hali ya maisha so sitaeleza,
The love is real but ngumu kueneza,
Ingekufikia but first na need kuekeza,
I secure the future,
Juu kwetu hiyo ndo culture,
So for now its a good bye,
To make u happy here is a good lie,
Nakupenda but am shy,
Niruhusu nitulie,
Juu sitaki nilie,
Machozi ya mapenzi,
.....
To be continued...