Sunday, 29 July 2018

JE, ATANIPENDA?

Alisema akuwe yangu inspiration,
Poem nikamwandikia kama dedication,
Hakujua nilishampenda,
So she had to be my main agenda,
Confessing my love to her,
Coz everytime all i think is her,
Ningekuwa na gitaa,
Ningemwimbia coz she is my star,
Time ya giza siitaji taa,
She brightens my heart siwezi pata scar,
She drives me crazy ata bila car,
Ningependa awe mpenzi in my heart ata kaa,
Anipe lake penzi tupendane kila saa,
Nimjulishe kwa wazazi tutembee kila mtaa,
Mimi na yeye milele,
Tukiomba tutafika kilele,
Dua kwa mola na yake majaliwa,
Tutatia fora na bidii ya kuzaliwa,
Ata tukikosana mara ngapi,
Lets try kila time we be happy,
Wink 😉 Wink😉
Mapenzi yawe kwa wingi

Sijui jinsi ya kumfanya anipende,
Ningekuwa na uwezo wa kumfanya asiende,
Abaki nami ingawa anaogopa nisimtende,
Laiti angalijua kuwa niyeye tu yu moyoni,
Zaidi angalijua kuwa ashatua ndotoni,
Ningeweza kumwelezea sababu,
Zote za kumpenda ningejaza kitabu,
Juu ye ndo daktari wa moyo tabibu,
Kumpenda sina aibu,
Maswali najiuliza bila majibu,
Penzi langu atalikubali?
Moyo wake atanikabidhi?
Niulinde ka stakabadhi,
Atanielewa ama ataona ni hadithi?
Ningeweza kumuahidi,
Kumpa penzi awe wangu shahidi,
Nimtunze kila siku nijitahidi,
Bora nisiingililie ugaidi,
Ati ndo akuwe in love with a gangster,
Ingekuwa thug love but sina rasta,
Though nalea nywele,
Usiniconfuse na samson ujifanye delilah,
Coz in time utanizalia we ndo my mama kyla,

Mwoga wa mapenzi nishakuwa,
Moyo wangu ushatua,
Kwa ndoto naota nikimuita,
Alisema naweza muita nyta,
She is a princess her eyes glitter,
Sio gold but she shines like a diamond,
So precious she can be my ornament,
Nimvalie kwa moyo,
Juu ni wangu chaguo la moyo,
Design ya otile na sana,
Nishampenda kwa sana,
Hold my hand nikupe love,
You the only one i have,
Ata nikinyamaza for a day,
Ni vile nashindwa what i should say,
You see nakupenda,
My heart ishasurrender,
All i pray ni unipende,
Hila usinitende,
Bad days zikija tunazifukuza zikwende,
Nikikubore usiende,
Tuketi tusuluishe pamoja
And tuzidi kuishi kwa upendo na umoja.

#YourPoet
#DebestPoetry
@ericcoh_debest

1 comment:

.. said...

Baada ya kuona chapisho kwenye mtandao la Jenna kutoka USA akisema jinsi alivyosaidiwa na Dk. DAWN, niliamua pia kuwasiliana naye kwa msaada kwa sababu sikuwa na chaguo nilichotaka ni kumrudisha mpenzi wangu na furaha. Kwa mshangao mkubwa mpenzi wangu alifika nyumbani akiwa amepiga magoti kwamba nitafute nafasi moyoni mwangu kumsamehe, hakika nilistaajabu na kushtuka mpenzi wangu alipopiga magoti akiomba msamaha na mimi nimkubalie tena. Kweli nimepungukiwa na maneno, na sijui ni kiasi gani cha kukushukuru wewe Dr. DAWN. Wewe ni Mungu aliyetumwa kurejesha uhusiano uliovunjika, Na sasa mimi ni mwanamke mwenye furaha. mawasiliano yake ni Whatsapp +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com