Saturday, 17 September 2016

A DEDICATION TO DEBEST FAMILY/TEAM DEBEST!

....(sighs..) Waaaah....
Its been a while but finally,
Nimepata familia inaitwa Debest family,
So tulia niwape summary,
Ina wasee wakali na wagangari,
Wamejitolea so badly,
Kujuana na kuhave fun madly,
Ata wakue angry,
Ama pia hungry,
Huwezi jua coz wako alwaiz in laughter,
Happiness first other things after,
Familia ka hii ndo nilikuwa natafuta,
Ndo niweze kufungua a new chapter,
Ya ubeshte people i can call familia,
Azin kila kitu wanafanya wakijiamulia,
So langu ni kutulia,
Making sure we stay strong nikiwaangalia,
Vitu Kali vi njiani nmewaandalia,
Coz for sure ericcoh najivunia,
Kuwa nanyi debest familia,
Nawapenda kwa sana,
Haha mkipenda kuliko Jana.
Najua sisi ni vijana,
Of which kuna wasichana,
Tujicontrol tusianze kupigana,
Lets mingle tukatiane ndo tuzidi kujuana,
Coz soon or later sote tutakutana,
Tu have fun na tule pamoja,
Na tuzidi kuishi kwa umoja,                         Forever as TEAM DEBEST,                       Together as DEBEST FAMILY 

PART 2 loading...

No comments: