Wednesday 21 September 2016

LOVE & HEARTBREAK (PART 2)

.......(PREVIOUSLY ON LOVE AND HEARTBREAK PART 1 ... 

In love is where we want to belong,               Coz it turns our wrongs to right,                          It makes us regain our sight,                       Always stand together and fight,                     All the obstacles cometh thy way,                        But heartbreaks are alwaiz on the way,         Though they can delay,                                             A time comes when we must face the reality,    Athough reality proves our surity,                          Most of the time reality sucks,                                 It becomes so hard to accept the facts,               But truly heartbreaks hurt,                                        So much such that..... (to be continued...)

...... you can hate love for life,

Part 2 LOVE AND HEARTBREAK!
You left me when i needed you most,
Singejua hiyo love ingeweza kunicost,
Ulisema napenda Pesa,
Kumbe ni njaro za kunitesa,
Baadaye ukajitosa,
Kwa anasa za dunia,
Nilitaka kukuposa,
Kumbe baadaye ningeumia,
Ona sasa nateseka,
Penzi la kweli mi nasaka,
True love ndo nataka,
Although sina haraka,
Kuna venye nadai baraka,
So nikiandika huu waraka,
Naitaji za mungu fanaka,
Ndo niweze kumpata,
Wa moyoni...kwake pekee nitadata,
Sitamchezea karata,
Ati nimpende kisha talaka,
Tutacheza sote chakacha,
Akipenda pia chukucha,
Nimpende mchana usiku kucha,
Nakumiss already mtoto kuja,
Mapenzi yangu ni free siyakuuza,
Baibe tuta agree sitakupuuza,
Ata tukicount one to three...my love for you itakuwa strong sitapunguza,

Nimetendwa na mapenzi,
Mengi ni ya ushenzi,
Nikayajenga ka ujenzi,
Nikayalinda ka mlinzi,
Yakanipora ka mwizi,
Now am alone & lonely,
She is gone my only,
She was nice & lovely,
But now am free,
Natafuta Wa kweli,
Mwenye mapenzi ya kweli,
Nikimpata nitamkubali,
Borake ni mtu shwari
Akiniuliza maswali,
Nitamjibu bila ukali,
Coz am sick of heartbreaks,
And soon nitampata,
Anipende nimpende,
True love nakusaka,
Njoo kwangu na usinitende.
Ati unipende kisha uende,
Nisiumie juu ya kukupenda,
Ama utoroke after kunitenda,
Ni tendo linalo...(to be continued...)

PART 3 LOADING....


No comments: