Tuesday, 11 October 2016

Kilio cha haki!

Life has been so hard,
Tunastand up together so that we can be heard,
Wasee wahangaika wengine wanacry,
Wengi wanatry,
Kucop up na life,
Wengine inawakata imekuwa ka knife,
Ni vitu mob wanataka,
But still wanasaka,
Mifukoni wamesota,
Madukani wamekopa,
Ndoto mingi wanaota,
Kitu kidogo wanachota,
To get their dream job,
Expectations ni mob,
Zingine hatuezi cop,
But still tunataka kustay at the top,
Hatutaki kudrop,
Skiza,cool down jikaze kama kamba yaani kama rope,
Hii life tuiskume,
Let's get ready for this,
Kwa life tujitume,
Together we can do this,

Huh...
Skiza nikupe story,
Life has been so hard,
Story zimejaa zingine ni so sad,
Watoi wamekufa,
Watoi wametupwa,
Mtaani ni kuranda,
Ukipatwa ni blanda,
Magondi watakumada,
Makarao watakuhanda,
Kichana unatoka wapi?
Kichana unaenda wapi?
Umechelewa utatoa ngapi?
Patia serikali kitu kitoko...

Hii story tuipe kisogo,
Tushikane yetu mikono,
Tusifyate yetu midomo,
Huu ndo wakati,
Hii ndo nafasi,
Sauti yetu iskike,
Vijana tugutuke,
Pamoja tuungane,
Umoja ndio nguvu utengano udhaifu,
Tusare uhalifu,
Tujenge uaminifu,
Let's stand up together,
Let's do this forever,
Peace!

No comments: