Nimekuwa nikipray,
God...
anipe wa kweli asiniplay,
Tupendane mapenzi ya dhati
Mimi naye tuwe Kama chanda na Pete,
Nimvishe Pete kwa Chanda,
Design ya love ya Santa,
Time ya Christmas juu pia love yetu ishapata clause,
In the beginning God created love,
Mapenzi ni sacred,
Ata kuwe na hatred,
Haiwezi win over Love,
Nimetunga shairi,
Nikuelezee kuwa nishakupenda,
Roho yangu ilishajipa,
Love yangu nilishakupa,
Will you be my valentine,
Not for only today but today and forever,
Nikucelebrate kila siku
Coz since day one
niliamua you are the one
For me
And me for you
roho yangu ilishakupenda,
Ningekuwa na kalenda,
Nikuhesabia vile days zimekuwa zikienda,
Though sio rahisi ka kucount one to nine,
Wewe kuwa mine
Ni kitu siwezi define
Only you can make my days shine
Kama stars in the sky
You are my star,
So Mimi nawewe tutashine,
Matime tutadine,
Nikupende kila time,
Usimind vile narhyme,
Coz love yetu inarhyme,
Its me and you,
Mimi na wewe,
Against the world,
Trust my word,
Mi nakupenda sio siri,
Mapenzi yetu wawili,
Asilimia mia,
Roho yangu ni yako,
Love yangu ni yako,
Kwangu kuwe kwako,
Changu kiwe chako,
Nikupende milele,
Mapenzi yasiyo na kilele,
Niko blessed kelele sina,
Blessed n am a winner,
Nakupenda sana.
No comments:
Post a Comment