Monday 13 February 2017

VALENTINES DAY!

Valentine day,
Sio lazima ulale ndani,
Haijalishi love ni gani,
Awe mtamu kama honey,
Usichovye kila Mara,
Ladha yake haikwishi,
Mapenzi yenu hayaishi,
Ukichovya kweli ni tamu,
Yazidi kukupa hamu,
Utachovya ya kwanza ya pili na ya tatu,
Utachovya Wa kwanza Wa pili na Wa tatu,
Saa zingine pia watatu,
Ukichoka Mara tatu,
But listen

Love sio kuchovya,
Kila time unachovya,
Sio eti umechovya Mara ngapi,
Ama umechovya wangapi,
Love ni kugive,
Love ni kuforgive,
Love ni kucare,
Love ni kushare
Love ni kupenda,
Love ni kutenda,
Actions muhimu,
Kila time kila msimu,
Maongezi pia muhimu,
Mapenzi yenu yatadumu,
Nakupenda usinilaumu,
Nimekosa usinihukumu,

Valentines ni ile Siku,
Walevi watableki,
Magari yao yakose breki,
Makazini wapewe break,
All in the name ya kuparty,
Wajipe mingi duty,
Kuprove love ni blind,
Una macho na unaona,
Mbona ungojewe kwa kona,
After heartbreak utapona,
Utakonda na utanona,
Shida ni upate homa,
Its worse kuliko being in a comma,
Tabia mbaya ungekoma,
Kuchovyachovya ungegoma,
But uliringa we ni mnoma,
Wosia za watu ukazichoma,
Utabaki kwako solo,
Upatwe na mingi sorrow,
Kwa kona design ya mafikizolo,
Watakukoma marafiki ubaki solo,

Valentine is giving,
Forgiving,
And thanks giving,
Everyday is a valentines day
Ndo lugha ya wapenzi,
Hauwezi kosa love,
Ka unawako mpenzi,
So take this time,
Tuwape love mayatima,
Tufanye yetu hima,
Kwa roho zetu yaani mtima,
Wasiojiweza tuwapende,
Tuwape reason ya kulive,
Happy Valentines Day From Debest!
#YourPoet
#DebestPoetry
@ericcoh_debest

No comments: