Friday, 20 October 2017

HAPPY MASHUJAA DAY FROM DEBEST!

20th October,
Inanipata nikiwa sober,
So kidogo naweza waroga,
Na mistari kabambe juu kwa lugha nimenoga,
So nikisema wacha itambe,
Mtashout DEBEST coz mnajua lazima iwabambe,

So first of all itabidi nimetaja wangu MASHUJAA,
Coz najua wengi wenu mtabaki mmezubaa,
Ama labda mtaduwaa,
Sssshhhh....hold up,
Ni MASHUJAA DAY,

Shujaa wa kwanza ni MAMA na BABA walionizaa,
Mlinizaa mkanilea,
Elimu na Maitaji mkanipea,
Baraka mingi nawaombea,
Nawaahidi sitawaipotea,
Ki maisha sitawai bobea,
Mlinifunza mazuri na mabaya,
Nazikumbuka zote riwaya,
"Eric be a good boy",
You always used to say,
So i promise today,
I will never let you down any single day,
Nawapenda sana wangu wazazi
Kwa yenu mazuri malezi,
Kwa yote mapenzi,
Mlionipa kutoka hizo enzi,
Za utotoni sa ni mkubwa,
Forever mtabaki kuwa mashujaa wangu,
Juu nyi ndo wazazi wangu,

Shujaa wa pili ni MARAFIKI,
Wale wa kweli na sio wanafiki,
Wanajua kutunza urafiki,
Wakona wewe hadi time za dhiki,
Coz wanajua faraja yaja,
Nyi wote siwezi wataja,
But mmekeep it real kila time,
Hamko hapa kusaka fame,
But kuwa na urafiki bila shame,
You so real and true,
Tustick together ka glue,
But first acha niwape clue,
Nawapenda vile mko tuu,
Debest niko sawa MASHUJAA mko juu,
Nawarank pamoja tuangamize ma hater,
Wakuje kuregret later,
But for now tuwafunze kupenda,
Though am afraid baadaye watatutenda,

Shujaa wa tatu ni mimi mwenyewe,
Debest am strong enyewe,
Imagine since nizaliwe sijai kata tamaa,
In everything little i get sijaikuwa na tamaa,
Ata niteseke aje sijawaijishika tama,
Kila siku najitahidi,
Natia bidii na life nisiwaijipata kwa ugaidi,
Inshort kwa life mi ndo shahidi,
Wengi husema najipenda,
Sijui nivile nikona mabeshte wazuri kuwashinda,
Wengine eti Debest huringa,
Nitaringaje na bado sijabuy dinga?,
Everyday na live up,
Bila kugive up,
Nikiboeka i pray just to top up,
My strength niweze kuhold up,
Every trial n temptation nisiback slide,
Ndo nikioa my bride,
Niweze kuwa yake pride,
Together we shall ride,
And abide,
To each other always,
Atlst thats what my heart says,
Shujaa ni mimi na wewe.
We keep it real always,
Forever in all our ways,
HAPPY MASHUJAA DAY

No comments: