Hii ni kama prayer,
So siitaji maplayer,
Hii ni NJIA NDEFU and to complete it we need REDEMPTION coz before CROSSING OVER,itabidi tuwe na a GUARDIAN ANGEL coz we need NO MORE suffering ndo tuweze kuimba NADEKA tuki GIVE THANKS but lazima tulook back na tusisahau KULE tumetoka,
Kweli God alishakuwa MWEMA kwetu akatushow his MERCY time ya MASIKA ndo maana naomba atulinde na atufunze katika SHULE YAKO ndo kila mara TUKUPENDEZE,
Kila time we shall FOLLOW YOU utupe zako Glory
Coz ni kweli ka Pozee SITOLIA sababu niko nawe God,
FANYA jambo kubwa God kwa nchi yetu,
Debest i pray for the best,
Let our country remain Blessed,
Sisi wanafunzi wako twaitaji NDIO YAKO na KIBALI chako ndo tuweze kukutumikia Milele hadi tufike KILELE,
Design ya pitson Injili yako ndo ITAVUMA tukipiga KELELE TAKATIFU coz enyewe bila God itakuwa ni NGORI na tunajua Yesu ANATUPENDA WOTE,
We are ONE,
Lets preach PEACE,
Tusitake tubaki in Pieces,
Uwe Wa JUBILEE ama NASA,
Usijifanye Hufikirii ama Tasa,
Tukumbuke Familia,
Vile watatulilia,
Tukikosa kujiPanga,
And instead tushike PANGA,
Umwage damu ya rafiki yako,
Usahau mtoto wako,
Upoteze familia yako,
Ni jambo la kusikitisha,
Hivyo twafaa kujihepusha,
Na vitendo za kihuni,
Na tuubiri Amani,
Amani ni Tamu,
Kama kymo n stigah,
Tujiamini Binadamu,
Tufikie kimo cha kuringa,
Its our Country,
Lets preach Peace,
Ukuwe mgikuyu au Mjaluo,
Niombe kibuyu nikupe Nguo,
Tusare ukabila ama kwamba baadaye tutaishi Bila,
Akuwe Uhuru ama Raila,
Tukue huru kama Raia,
Sisi sote Binadamu,
Sisi sote Tuna Damu,
Tupendane tuwe na umoja,
Tusaidiane sote kwa pamoja,
Let peace prevail.
#Peace
#DebestPoetry
#YourPoet
#KenyaNiSisi
A God fearing multi talented poet,Artist n song writer...Life experience is my all time inspiration to my poetry...For BOOKINGS kindly contact me through [ +254711799644 or email me to ericcohbest@gmail.com ]
Wednesday, 25 October 2017
KENYA NI SISI "(PEACE)"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment