Saturday, 20 August 2016

R.I.P (Repentace;Indulgence;Pray)

Wengi tuko uhai,
But rohoni tumekufa,
Wengi wanazirai,
Memory zao wanatupa,
We only think about our well being,
Kila siku imekuwa the same thing,
Tunajiita Christians,
Kila siku tuko church,
Ati tunaenda kusearch,
Salvation ya kwenda heaven,

We all afraid of hell,
But our deeds ziko tofauti,
Msamaha wa dhambi ni mauti,
Tushaziskia mingi sauti,
Lakini sauti ya yesu kristo hatujaiskia,
Its about time we repent,
Failure to which mbinguni hatuendi,
Na tutabaki kuwa mauti,
Its about time tusimame pamoja,
Sote tuwe na umoja,
Tumkane shetani,
Na zake mingi utani,
Tumlete yesu mtaani,
Tutubu tumwambie samahani,
Tumwahibishe shetani hadharani,

Wanarika tumeongozwa,
Na raha za dunia,
Kila siku tunapotoshwa,
Ilhali twajivunia,
Mara mingi tunapokosa,
Machozi tunalia,
Shetani ametutumia,
Kila Mara kumhudumia,
Kwa njia zake potovu,
Tumeukosa wokovu,
Sisi wote tuokoke,
Na milele tusipotoke,
Ndani ya Jesus tutatake cover,
Since the devil has taken over,

Ni wengi amewachukua,
Wakijaribu kuyatatua,
Matatizo ya dunia,
Shetani kawatumia,
Kutenda mengi maovu,
Na njia zake potovu,
Anawamaliza na kuwaacha na ulemavu,
But from now twaitaji ukakamavu,
We got to turn to Jesus,
And allow Jesus to get into us,
Tutaepuka mauti,
Coz in Jesus we sha forever live,
But in evil we shall die,
Coz with the devil we lie,
So together let's R.I.P

R -REPENTANCE
I -INDULGENCE
P -PRAY

No comments: