Nimezunguka kila mtaa,
Nikimtafuta atakayenifaa,
Milima nimepanda,
Mabonde nikashuka,
Kila kona kuzunguka,
All in the name of love,
The journey has been tough,
The road has been rough,
At last am sure enough,
You are the one for me,
You were made for me,
I give you my heart,
UWE WANGU WA MOYONI.
Penzi lako ushanipa,
Na moyo Wangu nishakupa,
You're mine am yours,
Kuwe mvua ama jua,
Kwangu moyoni ushatua,
Usitie shaka,
Chochote utakachotaka,
Mpenzi Wangu utapata,
Milele nitakufuata,
Coz ushakubali kuwa Wangu,
Nishakupa roho yangu,
NIKAKUFANYA WANGU WA MOYONI
My love am calling,
Coz In love am falling,
Kama bahati nalia machozi,
Ya furaha nikimshukuru mwenyezi,
Kwa kunipa cha roho kipenzi,
Moyoni kanijazia mapenzi,
Umbo nzuri pia malezi,
Nimempenda bila tetesi,
Kama fullstop kwenye sentensi,
NIMEMPATA WANGU WA MOYONI.
Mapenzi tutayatunza,
Kila siku kuyakuza,
Unipe love nikupe raha,
Uniite love kila saa,
Ukinipa busu sitakataa,
Na ule mwendo Wa madaa,
So smooth and gently,
Coz your kisses are so deadly,
Hold me and kiss me daily,
Coz forever u will be mine,
Every night we shall dine,
Me and you together,
Our love will last forever,
Thus always being in my heart,
From now nimempata,
WANGU WA MOYONI.
No comments:
Post a Comment