Willy paul alisema YOU NEVER KNOW,
Naiboi akasema tunaifanya juu ya doo,
After kuparty na kina maryan mfukoni Gkon alibaki na soo,
I know you never saw,
This coming,
But its kind of alarming,
Coz its Debest timing,
In love am falling,
Design ya bahati akiandika barua za mapenzi,
Ninakuita mpenzi mpenzi,
Ninakuita baiby,
Sitaki nilie machozi,
Coz kama willy paul nishaamua Sitolia,
KWA VILE nishakupata Mpenzi
That's why NakuMissi,
But still Hujafika,
Ndo niweze Kulala Salama,
Nikiwa sure Hutaniacha,
Let's Take It Slow
Njoo nikakujulishe kwa Mamangu,
Akikuona itakuwa shangwe na vigelegele,
Coz nitakuwa nishaFANYA,
Wajibu Wangu as a son,
Coz ata kuwe wakati wa Masika,
Milele Utanipendeza,
Coz ushakuwa Mwema kwangu,
With lords Mercy
Nishapata Unconditional Love,
Unanipenda Unconditionally,
Na nikaamua Liweliwe,
Single life kamwe sita Rejea,
Nishapata true love nina Give Thanks,
Design ya Guardian angel
After crossing over,
Alikuwa redeemed,
Just like redemption akiimba Love Love,
Alikuwa ashaona Kule ametoka,
Coz ukipata love,
Life inakuwa nikujibamba,
Fom inabaki nikuswitch,
Design ya soxxy,
Ama Mr Tee kwa angaza,
Si alitushow....
Maisha finje finje tukatae,
Coz si pia Gman na Holydave waliKATAA,
Na ghetto president akapata Life in abundance that's why aliimba psalms 23,
The lord is my shepherded i shall not want,
Si pia God utupea what we want?
When we pray without play.
Ye hukuwa wetu mtetezi,
After kupata neema yake,
Si pia laura anatamani kumuona!
Nakwambia hii life inaBAMBA MBAYA,
But ata umpate mpenzi Wa kweli,
Na umkose yesu hiyo love itakuwa NGORI,
coz si pia kelele takatifu wanajua anatupenda wote...
So before ustand tall like a pyramid,
Make sure umepata unconditional Bae,
Akupende na apende God,
Coz pia sauti Sol washasema anatupenda Leo kuliko Jana,
So ukuwe kijana au msichana, ikuwe usiku au mchana, Mpe sifa kama Kambua, Pia time ya mvua,
Soma biblia,
Penda kuishikilia,
Design ya Scooby the lazy rapper,
So am here nikihapa,
That nikimpata,
Atakuwa yuko moyoni,
Nimpe sweet love,
Design ya akothee
She will give it to me,.
Kwa Flavour tamu,
She will be my number one,
Ring nitampa ya diamond,
Coz to me she will be my golden treasure,
Nitampenda bila pressure,
Though in reality wanipa pressure,
So niruhusu nimake it official,
This is not business as usual,
Its my promise to you,
That I will forever remain true,
And you will be all for me,
Coz all of me,
Will love all of you,
Just like John legend,
Nataka sisi wawili tubaki the Legends of LOVE.
(Inspired by someone so special to me...Am simply in love...)
No comments:
Post a Comment