Jina ni MCHAFU siezi penda DRAMA,
Ata ujiite Queen huwezi pendwa na a WILLing KING,
So nikituma LINK ya IG,
usidouble tap coz bado hujapata ID,
Wanipenda i see,
But hii love nika imeungua I.C.,
Ata ka mchafu anapenda DRAMA,
Haimaniishi maziwa ya NDAMA,
Uwa clean,
Coz before you dream,
Remember ata ukuwe na guts aje,
Huwezi date TERRY coz GATZ ashampata,
Design ya MDG CHOSEN kuamua kushine na SUNSHINE,
Before akumbuke ye ni PRECIOUS,
So ata akipata PRECIOUS hawezi loose focus ile design Tyto anaskia Ile design TYTO anaskia nikitaja SHE anafikiria ni SHEE coz si pia shiro uandikwa ka SHEE?
Ama kuambia NDELEXX to smile but kichwa inaenda mteja akikumbuka SMILEY coz pia Ni tricky kuambia DENNY_C adate WINNIE na ashamwimbia song,
Nika kumistake kuambia WHITNEY akona SIFA mob ilhali the fact is SIFA is beside her, Ama ile design unachat na PRINCE unataja PARIS anakuuliza mko wapi kumbe ye ameskia PERIS😂😘🔥 Ile part nicks huskia ngoma ya SHAWAWA ati hakuna KAMA WEWE
Anasmile anashout am the SPIN DOCTOR .... Heartbeat inaongezeka design ukiambia VJAY to pay her dues anasmile anasema "nitamlipa nikienda home" kumbe ye ameskia tu DULCE .... Ile design unapatwa na JOY mob hadi DEBEST anakumbuka kumbe bae anaeza enda MILES away design ya BEN10 coz si pia yeye hupenda JOY.... (TO BE CONTINUED...)
just for fun...its never a DISS!, just don't MISS!
DEBEST POETRY!
YOUR POET!
No comments:
Post a Comment