Joy to the world,
Ndivyo tulisoma kwa word,
The lord has come,
Life itakuwa tamu,
Let earth receive a king,
Ni words ziliandikwa bila kutumia ink,
Let every heart prepare his room,
Fanya ipasavyo usije kujilaumu,
And let heaven and nature sing,
Tumsifu ndo tusiingie kwa sin,
Yes a child is born,
Yeye ndo atakuwa yetu bond,
Ya kuconnect na God Almighty,
Coz for real yeye ndo mighty,
Tukimkataa tutadie tu,
Ni mwana Wa Mungu kutoka juu,
A holy child is born,
Jina Emmanuel,
God with us,
Mkombozi Wa dunia,
Juu yake twajivunia,
Kuwa wana wake,
Tuliheshimu Jina lake,
Ndo tuweze kufika kwake,
Joy to the World, the Savior reigns!
Kwa zake baraka we get more rains,
Let men their songs employ;
Tumsifu ata tuwe kwa convoy,
While fields and floods,rocks,hills &plains,
Juu yake tunapata more gains,
Repeat the sounding joy,
Tumepata a boy child,
Ruler of the world,
Tufuate yake word,
Tusimfanye akuwe sad,
Let's sing in joy,
Coz through him tumepata salvation,
MERRY CHRISTMAS TO YOU AND YOUR FAMILIES!