Kila time unateta juu ya msoto,
Umecheza lotto,
But still imebaki kuwa ndoto,
Hujaskia ukiturn to God atakufanya boss,
Ndo baadaye ujiite man of God pia ukipenda m.o.g,
Ucheke ufurahi hadi you make use of this emoji,
Ukikosa patience in life u can't even fake it,
Ile design ya kenti kutwambia tuwe na subira ndo tuweze kumake it,
Then tupate life in abundance,
Design ya ekodydda akikeep it real coz ako young and blessed,
Umegive up in life hadi umekuwa so stressed,
Reason ni moja tu umefuatilia ya dunia,
Na daddy Owen kashatwambia kuwa yote ni vanity,
So instead ya kufuatilia hizo ma calamity,
Na ushaelewa kuwa life bila yesu ni ngori,
Ukitaka kuishi life bila worry,
Itabidi umetumia majik mic,
Ndo uweze kupiga kelele takatifu,
Life ikubambe mbaya,
Coz tulishaambiwa Yesu anatupenda wote,
So ndo tukuwe na ndoto za kupaa,
Lazima tupige shetani mateke,
Na tumwambie tiga wana,
Then hapo life itakuwa tamtam,
Ka collabo ya Willy Paul na size 8,
Hop sijakam nikiwa late,
Atlst ningewashow ikuwe date,
Ndo tuweze kubonga,
Ka chameleon,
Singing you are my darling,
Na kina Elani,
Coz enyewe love ya God yafanya niende kookoo,
Juu yeye ni mungu na ni mkuu,
So itabidi tumeskia LA mkuu tusivunjike guu,
Kwa kila episode tukuwe ready tusisahau,
Ka saint stevoh mwisho tuwe washindi,
Nataka kuwa kama wewe,
Shawawa alisema,
Ndo niweze kurejea,
Kama Gman agwanso,
Christ ndiye mwanzo,
Mwisho na anaishi milele,
So ndo tuweze kufika kilele,
Itabidi tupewe kagitaa,
Tumsifu design ya piston akidance lingala,
Kwake yesu ninang'ara,
Kama Christina shusho,
Baraka zako zishuke,
Uwepo wako ubishe,
Milele duniani,
Amina Twakuamini.
A God fearing multi talented poet,Artist n song writer...Life experience is my all time inspiration to my poetry...For BOOKINGS kindly contact me through [ +254711799644 or email me to ericcohbest@gmail.com ]
Thursday, 15 December 2016
KWA YESU KUNA RAHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment