Saturday 31 March 2018

AMEFUFUKA! (Happy Easter)

Amefufuka tuimbe hosanna,
Tunafurahi kwa sana
Ameshinda kifo,
Tunakubali wake wito,
Ametukomboa kutoka kwa dhambi,
Hivo tunamsifu kwa nyimbo na maombi,

Ni kweli walimtesa,
Akauzwa kwa tamaa ya pesa,
Yote ili atukomboe,
Dhambi zote tutoboe,
Msalabani kasulubiwa,
Kaburini kafunikiwa,
Siku ya kwanza na ya pili,
Ya tatu akatimiza utabiri,
Ni jambo lenye ujasiri,
Kufa ili atufariji,

Hivo sina budi ila kumpenda,
Kila wakati bila kusurrender,
Namatumaini mbinguni nitaenda,
Coz God was the sender,
Akamtuma Yesu ili aokoe ulimwengu,
Kwa kweli yeye ni Mungu,
Penzi lake kwetu,
Ni kubwa ivo tumuweke mioyoni mwetu,

Tusikosane kila wakati,
Though watu utofautiana  katika harakati,
Za kutafuta ukweli,
Mungu pekee ndiye wakili,
Mbele yake sote tuko equal,
Upendo wake hauna kipimo,
Anatupenda jana leo na kesho,
Tukichoka anatupanguza jasho,
Tumpende kila siku,
Tuimbe hosanna,
Na furaha kwa sana
Baraka zake zitakaa nasi sana,
Ametubless leo kesho na jana,
Anatupenda wasichana na vijana,
Love yake ni tight,
Amefufuka ametupea light,
Let's praise him every day n night,
Every moment ensuring we on the right,

Come all to Jesus,
He is risen he can see us,
Lets all gather n praise,
It doesn't matter the time n place,
Tuimbe haleluya,
Amefufuka hosanna,
Tusahau ya jana,
Anatupenda kwa sana.
Hosanna! Hosanna! Hosanna! 

HAPPY EASTER FROM DEBEST, 

LETS ENJOY 'COZ' WE ARE NOW BLESSED, 





Monday 26 March 2018

HOLD MY HAND! (SAY YES...)

She said Debest you "handsome"
But i couldn't tell that she wanted some,
So i was like really? ,
Coz that's not a compliment i here daily,
Kwa hivyo nikamshika mkono wake,
Akaniuliza ka najua kwake,
Nikamcheki kwa macho,
Akapromise kunipa chochote nitakacho,
Pairs n Pairs of golden sandals,
Sikujua baadaye itakuja leta scandals,
Ningekuwa PREZZO ningeweza kumhandle,
Baadaye mapenzi yakamelt ka candle,
Ka MLUHYIA WA BUSIA,
Na badman SHIVO mapenzi yakaturn HISIA,
Nikawa crazy nikitafuta jinsi ya,
Kumpata wa kweli nimshow zangu hisia,
Warembo ni wengi but wengi watakufisia,
Just to taste that d after wamekufikia,
So ukipata hiyo p usidhani umeangukia,
Wengine wako on a mission,
Ukizubaa watatumia hadi love portion,
Si walikwambia mafikizolo,
Labda ashaamua hakufi solo,

Nilimpenda ndio,
Alinitenda sio,
Tulipendana sana,
Alinicheza sana,
Ka mpira na mlinda lango
Alishika ball nikakuwa mpango wa kando,
Nilijua sijui,
Sura yenyewe siijui,
Ka KUSH story ikawa MAWE,
AYE kumbe aliDANDIWA,
Nilidhani ni bibi kumbe nilisaidiwa,
Nikakumbuka time niliharibiwa,
Nikazunguka nikitafuta baadaye nitabarikiwa,
Mtaniita mbarikiwa,
Juu ata nikipatana na CHRISTINA
Ego itabidi ameishuha,
Ka SHUSHO umenifanya ning'are,
Haters itabidi mmesare,
Juu saa hii tuko uniform,
Connection tushaiform,
So ata uvute KUSH
Hamuwezi kuniTRACE (tracey) ,
Niko juu ya mawingu,
Tayari kufunga pingu,
Za maisha,
Juu hii love ni real haiwezi isha,
So propaganda zenu haziwezi kututisha,
Kwa mola tunaomba ATUZIDISHIE,
BAADA YA SALA tuna tumaini atatuadisia,
Ka CAMPDAVID si God hubadili STORY,
So kwa unyonge wangu hawezi fanya niworry,

In love am falling,
NishaBAHATIka so naweza sema she is my 10 over 10 girl,
She makes my days bright when am dull,
Ananishika mkono when i fall,
Amenifika kikomo ndani ya love nimefall,
She is short am tall,
Akinimiss ananicall,
Kupata mpenzi ndio imekuwa MTINDO,
No WONDER akipata missed call ye unicall back,
Hii song ni yako ngoja nipewe instrumental na jack jack,
Na tuko tu pacho,
Siunajua kaka empire nilikuwa attacho,
So kwa mistari mi ni mistarilionairre,
Na namwogopa mungu pekee,
Mahayawani nishawapiga tekee,
Juu ya pale amenitoa sina budi kusema asante,
Ka wife ya dj mo,
Hii love nitakupa more,
Siunajua vile we uniFANYA,
Nafeel githiririri,
That's why hunanga MALINGO,
kwangu juu ata POZEE anajua you are my JIGIJIGI,
Niruhusu nikuite MPENZI,
Si alisema mapenzi ni free,
Na yanarun dunia,
Be my unconditional bae,
Juu ata KIBA alikwambia you SEDUCE ME ,
Nipe hiyo chance bebi don't refuse me,
You my number one,
Wengine nishaweka kando uwe my only one,
Baby boo sema NGW'E,
Nishaamua kuwa ROMANTIC,
Niki RUN dat TING,
Ka FENA GITU,
Nitakupa kila KITU,
Nikupende kila siku,
SitakuTENDA nitakuPENDA ka DANNY,
GIFT nitakupa kila siku si Utani,
I promise to be your GUARDIAN ANGEL,
So be sure kila kitu itakuwa SAWADAKTA,
Juu nitakupenda UNCONDITIONALLY,
Ukiboeka itabidi Nikuimbie,
MZIKI TRUE ka BEN C,
Ndo ukilala upate its only me you will see,
Hii ni bahari ya mapenzi tuko deep in the sea,
......HOLD MY HAND TOGETHER WE CAN FLY,
..... HOLD IT TIGHT WE FLYING TO THE SKY.


Monday 19 March 2018

THE ONE!

How sweet it feels to fall in love,
How wonderful when you two laugh,
Together hugging n kissing,
Forever nagging n missing,
Each other,
Damn can't wait for that day,
I'll put a ring on her finger,
I DO is all what you will say,
And how u will react is what am tryna figure,
Spending that time together alone,
Responding to all my moves as we ride along,
But nishampata wa kweli...
She is the one,
Mine alone,

Sometimes am like... babe come on,
Ana run na kujibu oh yes babe cum on me,
I guess she was made for me,
Always there for me,
A mistake i would again commit,
If given a chance to love again I'll repeat,
coz with her am an addict,
Am drunk in love,
She is my everyday drug,
To her am addicted,
But i can never abuse her,
Her dose is what i need all day,
Talk of waking up beside her every morning,
Thank God for the new day then her "glory" ,
So sweet alwaiz hitting the hot spot,
Before breakfast is served in a hot pot,
Yes i omitted the G in that spot,
Coz to her am the OG of the honey pot,
She said am her hot spot,
I can open her data n fit in my device on her slot,
Coz for real having her with me is like i hit the jackpot,

So story za kucheza multi bet nimewacha,
Siko ready kutolewa na game moja huwa inawasha,
Niko kwa hii single bet coz atlst nitajaza doo kwa bahasha,
Wale wa kuspoil my money nishawaambia La Hasha,
Niko strong na huyu mmoja sitaki kina Natasha,
Huyu ashanipenda na nikampenda pia,
Ni mwenye heshima na hakunywangi beer,
Mtulivu sana hafuatangi peer pressure,
Mchangamfu zaidi sisi ucheza time ya leisure,
I can say i made it coz she is my treasure,
She is mine meeting her was my pleasure,

Ni mrembo mwenye figure ya chupa ya coca cola,
Pia hardworking on her job ukitaka white colar,
Nikimtazama damu uchemka nika nachomwa na solar,
She makes me go gaga,
Napenda hiphop anapenda ragga,
But kimziki she z my everyday song,

Kumskiza daily na maneno yake matamu,
Sauti yake yenye mahaba hunipa hamu,
Sifichi but kweli nishampenda,
Wauni kando na walionitenda,
Niko freshi kwa sasa penzi nalitunza,
Focusing on her ivo ndo nilijifunza,
Nakupenda kwa sana,
Milele tusiwaiachana,
Iwe usiku au mchana,
Tuzae kijana au msichana,
Tutapendana kuliko jana.