Saturday, 31 March 2018

AMEFUFUKA! (Happy Easter)

Amefufuka tuimbe hosanna,
Tunafurahi kwa sana
Ameshinda kifo,
Tunakubali wake wito,
Ametukomboa kutoka kwa dhambi,
Hivo tunamsifu kwa nyimbo na maombi,

Ni kweli walimtesa,
Akauzwa kwa tamaa ya pesa,
Yote ili atukomboe,
Dhambi zote tutoboe,
Msalabani kasulubiwa,
Kaburini kafunikiwa,
Siku ya kwanza na ya pili,
Ya tatu akatimiza utabiri,
Ni jambo lenye ujasiri,
Kufa ili atufariji,

Hivo sina budi ila kumpenda,
Kila wakati bila kusurrender,
Namatumaini mbinguni nitaenda,
Coz God was the sender,
Akamtuma Yesu ili aokoe ulimwengu,
Kwa kweli yeye ni Mungu,
Penzi lake kwetu,
Ni kubwa ivo tumuweke mioyoni mwetu,

Tusikosane kila wakati,
Though watu utofautiana  katika harakati,
Za kutafuta ukweli,
Mungu pekee ndiye wakili,
Mbele yake sote tuko equal,
Upendo wake hauna kipimo,
Anatupenda jana leo na kesho,
Tukichoka anatupanguza jasho,
Tumpende kila siku,
Tuimbe hosanna,
Na furaha kwa sana
Baraka zake zitakaa nasi sana,
Ametubless leo kesho na jana,
Anatupenda wasichana na vijana,
Love yake ni tight,
Amefufuka ametupea light,
Let's praise him every day n night,
Every moment ensuring we on the right,

Come all to Jesus,
He is risen he can see us,
Lets all gather n praise,
It doesn't matter the time n place,
Tuimbe haleluya,
Amefufuka hosanna,
Tusahau ya jana,
Anatupenda kwa sana.
Hosanna! Hosanna! Hosanna! 

HAPPY EASTER FROM DEBEST, 

LETS ENJOY 'COZ' WE ARE NOW BLESSED, 





No comments: