Monday, 26 March 2018

HOLD MY HAND! (SAY YES...)

She said Debest you "handsome"
But i couldn't tell that she wanted some,
So i was like really? ,
Coz that's not a compliment i here daily,
Kwa hivyo nikamshika mkono wake,
Akaniuliza ka najua kwake,
Nikamcheki kwa macho,
Akapromise kunipa chochote nitakacho,
Pairs n Pairs of golden sandals,
Sikujua baadaye itakuja leta scandals,
Ningekuwa PREZZO ningeweza kumhandle,
Baadaye mapenzi yakamelt ka candle,
Ka MLUHYIA WA BUSIA,
Na badman SHIVO mapenzi yakaturn HISIA,
Nikawa crazy nikitafuta jinsi ya,
Kumpata wa kweli nimshow zangu hisia,
Warembo ni wengi but wengi watakufisia,
Just to taste that d after wamekufikia,
So ukipata hiyo p usidhani umeangukia,
Wengine wako on a mission,
Ukizubaa watatumia hadi love portion,
Si walikwambia mafikizolo,
Labda ashaamua hakufi solo,

Nilimpenda ndio,
Alinitenda sio,
Tulipendana sana,
Alinicheza sana,
Ka mpira na mlinda lango
Alishika ball nikakuwa mpango wa kando,
Nilijua sijui,
Sura yenyewe siijui,
Ka KUSH story ikawa MAWE,
AYE kumbe aliDANDIWA,
Nilidhani ni bibi kumbe nilisaidiwa,
Nikakumbuka time niliharibiwa,
Nikazunguka nikitafuta baadaye nitabarikiwa,
Mtaniita mbarikiwa,
Juu ata nikipatana na CHRISTINA
Ego itabidi ameishuha,
Ka SHUSHO umenifanya ning'are,
Haters itabidi mmesare,
Juu saa hii tuko uniform,
Connection tushaiform,
So ata uvute KUSH
Hamuwezi kuniTRACE (tracey) ,
Niko juu ya mawingu,
Tayari kufunga pingu,
Za maisha,
Juu hii love ni real haiwezi isha,
So propaganda zenu haziwezi kututisha,
Kwa mola tunaomba ATUZIDISHIE,
BAADA YA SALA tuna tumaini atatuadisia,
Ka CAMPDAVID si God hubadili STORY,
So kwa unyonge wangu hawezi fanya niworry,

In love am falling,
NishaBAHATIka so naweza sema she is my 10 over 10 girl,
She makes my days bright when am dull,
Ananishika mkono when i fall,
Amenifika kikomo ndani ya love nimefall,
She is short am tall,
Akinimiss ananicall,
Kupata mpenzi ndio imekuwa MTINDO,
No WONDER akipata missed call ye unicall back,
Hii song ni yako ngoja nipewe instrumental na jack jack,
Na tuko tu pacho,
Siunajua kaka empire nilikuwa attacho,
So kwa mistari mi ni mistarilionairre,
Na namwogopa mungu pekee,
Mahayawani nishawapiga tekee,
Juu ya pale amenitoa sina budi kusema asante,
Ka wife ya dj mo,
Hii love nitakupa more,
Siunajua vile we uniFANYA,
Nafeel githiririri,
That's why hunanga MALINGO,
kwangu juu ata POZEE anajua you are my JIGIJIGI,
Niruhusu nikuite MPENZI,
Si alisema mapenzi ni free,
Na yanarun dunia,
Be my unconditional bae,
Juu ata KIBA alikwambia you SEDUCE ME ,
Nipe hiyo chance bebi don't refuse me,
You my number one,
Wengine nishaweka kando uwe my only one,
Baby boo sema NGW'E,
Nishaamua kuwa ROMANTIC,
Niki RUN dat TING,
Ka FENA GITU,
Nitakupa kila KITU,
Nikupende kila siku,
SitakuTENDA nitakuPENDA ka DANNY,
GIFT nitakupa kila siku si Utani,
I promise to be your GUARDIAN ANGEL,
So be sure kila kitu itakuwa SAWADAKTA,
Juu nitakupenda UNCONDITIONALLY,
Ukiboeka itabidi Nikuimbie,
MZIKI TRUE ka BEN C,
Ndo ukilala upate its only me you will see,
Hii ni bahari ya mapenzi tuko deep in the sea,
......HOLD MY HAND TOGETHER WE CAN FLY,
..... HOLD IT TIGHT WE FLYING TO THE SKY.


No comments: