Wednesday, 8 November 2017

MY IMAGINARY GIRLFRIEND!

Hhhmmm...(sighs)...
They say truth is built from lies,
Coz darkness had filled my eyes,
I had missed getting high,
I saw the stars falling from the sky,
At some point i thought i could fly,
But the distance was so high,
And like everyone else am afraid to die,
But just before getting tired,
Something magnificent caught me hired,
Like i was in a job so i became so keen,
The most beautiful woman i had ever seen,
Appeared from thin air,
You could notice her with the long hair,
For a moment i would say an angel had fallen,
And my heart was already stolen,

Then...it was her,
She called out; "hello sir",
My heart beat increased,
For a moment i couldn't speak,
She was just magnificent,
And in my room she was present,
Her eyes so beautiful,
That made me so joyful,
Holding her hands i kissed her lips,
My hands down to her well built hips,
She kissed back,
This time round there was no looking back,
I knew i had hit the jackpot,
Coz that day i would taste her honey pot,
(Yeah who doesn't love that???)
For a moment i forgot where the bed was at,
So we ended up on the coach,
Ssshhh in this game Debest is the coach,
I whispered to her ears,
That made her forget all her fears,
For a moment everything was so quiet,
She holding me so tight,
That moment i knew i was hitting it right,
Just to prove my instincts for that night,
She slowly started calling my name,
Debest....huh...oh yess...
Atlst i knew i had built my fame,
This all time,
We were having the best of the moment,
If i could post it you would undoubtedly comment,
She was my first,
Good moments end so fast,
So the sweetness didn't last,
I had seen her my last,
Coz it was time to wake up,
Then realised it was all but a dream,

I remember how the alarm rang,
How the music sang,
I still have to sing,
Her favourite song l,
As i remember her thing,
And wish to meet her in a closed ring,
For a match coz am her king,
And she my queen,
We will both win,
At least thats what she said,
Before getting laid,
Too bad she was just but my imaginary girlfriend.

Wednesday, 25 October 2017

KENYA NI SISI "(PEACE)"

Hii ni kama prayer,
So siitaji maplayer,
Hii ni NJIA NDEFU and to complete it we need REDEMPTION coz before CROSSING OVER,itabidi tuwe na a GUARDIAN ANGEL coz we need NO MORE suffering ndo tuweze kuimba NADEKA tuki GIVE THANKS  but lazima tulook back na tusisahau KULE tumetoka,
Kweli God alishakuwa MWEMA kwetu akatushow his MERCY time ya MASIKA ndo maana naomba atulinde na atufunze katika SHULE YAKO ndo kila mara TUKUPENDEZE,
Kila time we shall FOLLOW YOU  utupe zako Glory
Coz ni kweli ka Pozee SITOLIA sababu niko nawe God, 
FANYA jambo kubwa God kwa nchi yetu,
Debest i pray for the best,
Let our country remain Blessed,
Sisi wanafunzi wako twaitaji NDIO YAKO na KIBALI chako ndo tuweze kukutumikia Milele hadi tufike KILELE,
Design ya pitson Injili yako ndo ITAVUMA tukipiga KELELE TAKATIFU coz enyewe bila God itakuwa ni NGORI na tunajua Yesu ANATUPENDA WOTE,
We are ONE,
Lets preach PEACE,
Tusitake tubaki in Pieces,
Uwe Wa JUBILEE ama NASA,
Usijifanye Hufikirii ama Tasa,
Tukumbuke Familia,
Vile watatulilia,
Tukikosa kujiPanga,
And instead tushike PANGA,
Umwage damu ya rafiki yako,
Usahau mtoto wako,
Upoteze familia yako,
Ni jambo la kusikitisha,
Hivyo twafaa kujihepusha,
Na vitendo za kihuni,
Na tuubiri Amani,
Amani ni Tamu,
Kama kymo n stigah,
Tujiamini Binadamu,
Tufikie kimo cha kuringa,
Its our Country,
Lets preach Peace, 
Ukuwe mgikuyu au Mjaluo,
Niombe kibuyu nikupe Nguo,
Tusare ukabila ama kwamba baadaye tutaishi Bila,
Akuwe Uhuru ama Raila,
Tukue huru kama Raia,
Sisi sote Binadamu,
Sisi sote Tuna Damu,
Tupendane tuwe na umoja,
Tusaidiane sote kwa pamoja,
Let peace prevail.
#Peace
#DebestPoetry
#YourPoet
#KenyaNiSisi

Friday, 20 October 2017

HAPPY MASHUJAA DAY FROM DEBEST!

20th October,
Inanipata nikiwa sober,
So kidogo naweza waroga,
Na mistari kabambe juu kwa lugha nimenoga,
So nikisema wacha itambe,
Mtashout DEBEST coz mnajua lazima iwabambe,

So first of all itabidi nimetaja wangu MASHUJAA,
Coz najua wengi wenu mtabaki mmezubaa,
Ama labda mtaduwaa,
Sssshhhh....hold up,
Ni MASHUJAA DAY,

Shujaa wa kwanza ni MAMA na BABA walionizaa,
Mlinizaa mkanilea,
Elimu na Maitaji mkanipea,
Baraka mingi nawaombea,
Nawaahidi sitawaipotea,
Ki maisha sitawai bobea,
Mlinifunza mazuri na mabaya,
Nazikumbuka zote riwaya,
"Eric be a good boy",
You always used to say,
So i promise today,
I will never let you down any single day,
Nawapenda sana wangu wazazi
Kwa yenu mazuri malezi,
Kwa yote mapenzi,
Mlionipa kutoka hizo enzi,
Za utotoni sa ni mkubwa,
Forever mtabaki kuwa mashujaa wangu,
Juu nyi ndo wazazi wangu,

Shujaa wa pili ni MARAFIKI,
Wale wa kweli na sio wanafiki,
Wanajua kutunza urafiki,
Wakona wewe hadi time za dhiki,
Coz wanajua faraja yaja,
Nyi wote siwezi wataja,
But mmekeep it real kila time,
Hamko hapa kusaka fame,
But kuwa na urafiki bila shame,
You so real and true,
Tustick together ka glue,
But first acha niwape clue,
Nawapenda vile mko tuu,
Debest niko sawa MASHUJAA mko juu,
Nawarank pamoja tuangamize ma hater,
Wakuje kuregret later,
But for now tuwafunze kupenda,
Though am afraid baadaye watatutenda,

Shujaa wa tatu ni mimi mwenyewe,
Debest am strong enyewe,
Imagine since nizaliwe sijai kata tamaa,
In everything little i get sijaikuwa na tamaa,
Ata niteseke aje sijawaijishika tama,
Kila siku najitahidi,
Natia bidii na life nisiwaijipata kwa ugaidi,
Inshort kwa life mi ndo shahidi,
Wengi husema najipenda,
Sijui nivile nikona mabeshte wazuri kuwashinda,
Wengine eti Debest huringa,
Nitaringaje na bado sijabuy dinga?,
Everyday na live up,
Bila kugive up,
Nikiboeka i pray just to top up,
My strength niweze kuhold up,
Every trial n temptation nisiback slide,
Ndo nikioa my bride,
Niweze kuwa yake pride,
Together we shall ride,
And abide,
To each other always,
Atlst thats what my heart says,
Shujaa ni mimi na wewe.
We keep it real always,
Forever in all our ways,
HAPPY MASHUJAA DAY

Sunday, 1 October 2017

LOVE AFFAIR!

Boom...Boom...Boom...
The sound of my heartbeat,
Ni roho yangu inabeat,
Nikitry kuremember,
The first day tulimeet,
First time yangu na wewe,
Ukadai yangu Cork(coke),
Ukaanza ku FANTAsize,
Ati you wanna Taste the Feeling,
Juu already ulikuwa so willing,
And since i knew how you were feeling
Nikaamua kukupea hiyo healing,
Na flavour ya strawberry,
Juu ulisema niongezee some spices,
Toss the dice three times,
Coz i am good in the game,
Shots tatu na sio za tequila,
Coz debest am the healer,
Love yako ni dawa you the seller,
Nimekulewesha am the dealer,
Usiogope nakupa kitu Lethal,
Juu weapon yangu ni Legal,
Nitakudrive crazy juu already ushanipa licence,
Nikichange gear,
Ndo niweze kukutake care,
Actions zangu ndo unategea,
Nikikubusu unalegea,
Ka Pozee you my JigiJigi,
So naweza kukuDigiDigi,
Na Arrow zingine soft,
Though sijasema mi ni Arrow bwoy,
Ukipenda niite Life Bwoy,
Juu ZILE VITU NITAKUFANYIA,
Sio NDOGO NDOGO,
Zinaweza bring kiumbe into life,
Tuwaache wakiWONDER,
"Kwani Ericcoh alipata Wife!"
Walidhani sinanga BAHATI,
Coz sijawailia juu ya MAPENZI,
But ever since nipost IN LOVE AM FALLING,
Nimekuwa nikilia MACHOZI ya furaha,
True Love ndo Silaha,
So tukipatana usiku kwa mtaa,
Haijalishi giza juu already we ndo yangu taa,
Nishajua mapenzi ni TAM TAM,
Kile utakacho nitaFANYA,
Juu ushasema "I DO" ,
Hey Boo nitastick kwako ka Glue,
Just like the sky is blue,
Our love is True,
So wacha nikupe clue,
Of what nitado,
Nitakupenda sitakubore,
Mi nawewe tutagrow,
Old bila kuget bored,
Nipe your arm niweze kukuhold,
Tight close to me bila kuunfold,
Story tuijue wenyewe ibaki kuwa untold,
Juu Love ni feeling can never be told.
Hii ni Love affair,
Naandika nikiwa fresh nishajipaka Nivea,
Karibia nikupe busu siunajua i care,
Hii ni true love sio game ya truth or dare,
So nikisema you so lovely itakuwa so fair,
Nipe time sitaki ku despair,
Nikupe love bila kuspare,
Tumake love after kuprepare,
Unipe tamu na sitaki kukushare,
Juu hiyo kitu ni tamu am lucky nikona share,
So niruhusu nikubusu nikikuhold,
Coz already am the share holder.

Tuesday, 12 September 2017

BACK TO BASICS

Am back like i never left,
Nimekuwa kwa jam traffic imekuwa most  nikalook right and left,
Then left again alafu nikacross,
Wangapi mmenimiss? Inueni mikono ata ka ni dozen,
Wengi wenu you dying for my kiss, But lets assume mi ni cousin,
Chill no rushin' ,
Am here to stay,
Am not going away,
At the end of the day i got bills to pay,
And lots to say,

Debest jina kubwa,
Blessed na passion si utumwa,
Siitaji kusukumwa,
After all bado nakula ugali na sukuma,
Ni maisha na hali ya kuyasukuma,
Ukule Omena na sembe ya mbao,
Ucheze mapena ufunge mabao,
Uchape makona ufike kwa hao,
Ung'are ka baller ufike tao,
Tisho kali bora ukona trao,
Usiwaisahau place umetoka,
Mjue Mungu angalau utaokoka,

Poetry in my blood,
Nashukuru God i am glad,
Kipaji amenipa,
Mistari mi nawapa,
'Toka hapa hadi kule,
Mi ni rapper siko shule,
Unabeef leta tule,
I keep it real am the Realest,
Jina ni Ericcoh am the illest,
Check my blog upate latest,
Mistari na mizani,
Nazipima na uzani
Niwape za wastani,
To my loyals nawapenda sio utani,
Tupatane mtaani,
Niwashow form ni gani,
Na tujuane kwani tu hali gani!.

Am back to basic,
Life has been hectic,
Nimekuwa so sick,
Nawacall hampick,
Niko njaa hampiki,
Nawaita hamfiki,
Friends turned haters,
Friends turned strangers,
Friends turned rangers,
Friends turned hunters,
Am the Realest niggar,
Ukitaka unaeza nihiga,
Niko down to earth na sio kuringa,
Usicompete na mimi huwezi nishinda,
Oh we ni cry baby nitakubaia rinda,
DEBEST jina kubwa trust me hii ni shidaa!




Monday, 13 February 2017

All Because I Love you!

Nimekuwa nikipray,
God...
anipe wa kweli asiniplay,
Tupendane mapenzi ya dhati
Mimi naye tuwe Kama chanda na Pete,
Nimvishe Pete kwa Chanda,
Design ya love ya Santa,
Time ya Christmas juu pia love yetu ishapata clause,
In the beginning God created love,
Mapenzi ni sacred,
Ata kuwe na hatred,
Haiwezi win over Love,
Nimetunga shairi,
Nikuelezee kuwa nishakupenda,
Roho yangu ilishajipa,
Love yangu nilishakupa,

Will you be my valentine,
Not for only today but today and forever,
Nikucelebrate kila siku
Coz since day one
niliamua you are the one
For me
And me for you
roho yangu ilishakupenda,
Ningekuwa na kalenda,
Nikuhesabia vile days zimekuwa zikienda,
Though sio rahisi ka kucount one to nine,
Wewe kuwa mine
Ni kitu siwezi define
Only you can make my days shine
Kama stars in the sky
You are my star,
So Mimi nawewe tutashine,
Matime tutadine,
Nikupende kila time,

Usimind vile narhyme,
Coz love yetu inarhyme,
Its me and you,
Mimi na wewe,
Against the world,
Trust my word,
Mi nakupenda sio siri,
Mapenzi yetu wawili,
Asilimia mia,
Roho yangu ni yako,
Love yangu ni yako,
Kwangu kuwe kwako,
Changu kiwe chako,
Nikupende milele,
Mapenzi yasiyo na kilele,
Niko blessed kelele sina, 
Blessed n am a winner,
Nakupenda sana.


VALENTINES DAY!

Valentine day,
Sio lazima ulale ndani,
Haijalishi love ni gani,
Awe mtamu kama honey,
Usichovye kila Mara,
Ladha yake haikwishi,
Mapenzi yenu hayaishi,
Ukichovya kweli ni tamu,
Yazidi kukupa hamu,
Utachovya ya kwanza ya pili na ya tatu,
Utachovya Wa kwanza Wa pili na Wa tatu,
Saa zingine pia watatu,
Ukichoka Mara tatu,
But listen

Love sio kuchovya,
Kila time unachovya,
Sio eti umechovya Mara ngapi,
Ama umechovya wangapi,
Love ni kugive,
Love ni kuforgive,
Love ni kucare,
Love ni kushare
Love ni kupenda,
Love ni kutenda,
Actions muhimu,
Kila time kila msimu,
Maongezi pia muhimu,
Mapenzi yenu yatadumu,
Nakupenda usinilaumu,
Nimekosa usinihukumu,

Valentines ni ile Siku,
Walevi watableki,
Magari yao yakose breki,
Makazini wapewe break,
All in the name ya kuparty,
Wajipe mingi duty,
Kuprove love ni blind,
Una macho na unaona,
Mbona ungojewe kwa kona,
After heartbreak utapona,
Utakonda na utanona,
Shida ni upate homa,
Its worse kuliko being in a comma,
Tabia mbaya ungekoma,
Kuchovyachovya ungegoma,
But uliringa we ni mnoma,
Wosia za watu ukazichoma,
Utabaki kwako solo,
Upatwe na mingi sorrow,
Kwa kona design ya mafikizolo,
Watakukoma marafiki ubaki solo,

Valentine is giving,
Forgiving,
And thanks giving,
Everyday is a valentines day
Ndo lugha ya wapenzi,
Hauwezi kosa love,
Ka unawako mpenzi,
So take this time,
Tuwape love mayatima,
Tufanye yetu hima,
Kwa roho zetu yaani mtima,
Wasiojiweza tuwapende,
Tuwape reason ya kulive,
Happy Valentines Day From Debest!
#YourPoet
#DebestPoetry
@ericcoh_debest

Monday, 9 January 2017

EMPIRE OF LOVE! (KING & QUEEN)

Love! Love! Love!
(...sighs...)
Nikikua walisema love is blind,
Nikajua hii love inaweza tu bind,
Tukistay humble na tuwe kind,
Tuwache kugamble na everyone we find,
Ukimweka kwa roho na kwa mind,
Itakuwa easy kummind,
Weka shida kando,
Sare mipango za kando,
Stay na mwenye anaweza kuhandle,
Love iwe solid isianze kumelt ka candle,
Kama kristof unaeza check my handle,
Ni ericcoh debest you can start stalking,
I act more and do a little talking,
Coz actions speak louder than words,
To my heart is where this love holds,

So its me and you against all odds,

Mapenzi yanarun dunia,
Aliimba alikiba,
Usiseme aliiba,
Ni matamu usiyaweke akiba,
Keep the love moving coz pia ni tiba,
Ya roho...Love cures,
When my heart is yours,
And your heart is mine,
Our love will shine,
Kama stars in the sky,
Tutafly so high,
Our love will never die,

Nikupende unipende,
Ndo utamu Wa mapenzi,
Milele usinitende,
Tufuate mema malezi,
Milele nitakuenzi,
Tulitunze letu penzi,
Let's keep it 100 yaani soo,
Coz pia wewe ni "mso",
Ukieka Jina Debest,
"Mwendwa" ndo mpenzi,
Kupendwa ndo mapenzi,

This to you my queen,
Its true am your king,
The feeling is strong,
In my heart you belong,
This verse can be long,
But I'll cut it short,
A king and a queen,
Every kiss is a win,
Everyday i miss you,
I can't stop to think of you,
You are my world,
Trust my word,
Am your king you my queen,
An EMPIRE OF LOVE.

A DEDICATION TO MY QUEEN!